MICHEZO Arsenal wamelazimishwa sare na PSG wakiwa nyumbani Emirates.

Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya Makundi imeendelea tena usiku wa November 23 kwa michezo nane kupigwa, michuano hiyo inaendelea baada ya jana November 22 kuchezwa michezo mingine nane ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya Makundi.
3ab30a7300000578-3965922-image-a-10_1479935751360
Mchezo kati ya Arsenal dhidi ya Paris Saint Germain ya Ufaransa ulikuwa ni moja kati ya michezo nane iliyochezwa usiku wa November 23, PSG wakiwaEmirates waliutawala mchezo kwa asilimia 52 dhidi ya wenyeji wao Arsenalwaliokuwa wameutawala mchezo kwa asilimia 48.
3ab30cee00000578-3965922-image-a-8_1479935705104
Arsenal wakiwa nyumbani wamelazimishwa sare goli 2-2, magoli yaArsenal yakifungwa na Oliver Girouddakika ya 45 na dakika ya 59 Marco Verratti alijifunga, wakati magoli ya PSG yalifungwa na Edinson Cavani dakika ya 18 na goli lao la pili lilipatikana baada ya beki wa Arsenal Alex Iwobi kujifunga kwa kichwa dakika ya 77.
MICHEZO Arsenal wamelazimishwa sare na PSG wakiwa nyumbani Emirates. MICHEZO Arsenal wamelazimishwa sare na PSG wakiwa nyumbani Emirates. Reviewed by bloger on November 23, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display