DIAMOND KUUTEKA MWAKA 2017 NA KOLABO HIZI ZA KIMATAIFA

MOSHI SHABANI MALLEMA

Huku nyimbo  ya Diamond Platnumz na muimbaji kutoka nchini Marekani Ne-Yo ikitarajiwa kutoka mwishoni mwa mwaka huu, Msanii nyota nchini Tanzania na Afrika kwasasa Diamond Platnumz anataraji kuachia ngoma mbili nyingine za kimataifa.diamond-plutnumz-and-usherjpg

Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia tovuti hii ni kwamba msanii huyo ifikapo mwakani (2017) anataraji kuachia ngoma na wakali wa Pop kutoka Marekani ambao ni Usher Raymond na  French Montana.
diamond-1-tile-5Pia inakumbukwa pia msanii Diamond Platnumz amewahi kupost picha ya Usher Raymond kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwa imeambatana na ujumbe ambao moja kwa moja unamaanisha kuna kitu amefanya na msanii huyo ambaye inatajwa kuwa ni moja ya wasanii ambao Diamond Platnumz anatamani kufanya nao kazi.

DIAMOND KUUTEKA MWAKA 2017 NA KOLABO HIZI ZA KIMATAIFA DIAMOND KUUTEKA MWAKA 2017 NA KOLABO HIZI ZA KIMATAIFA Reviewed by bloger on November 17, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display