ANGALIA JINSI MWANAJESHI AMLAZIMISHA RAIA KUOGELEA KWENYE MAJI YALIYOTWAMA BARABARANI KARIAKOO




Picha unazoona sio utani wala sinema ni raia wa kawaida akiogelea kwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi.
Raia huyo alikutana na adhabu kali za mwanajeshi huyo baada ya kukutwa amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam.

Jamaa huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha akaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari ..
Haya mavazi raia wanayapenda ila kwenda kutumikia jeshi hawataki ...ahahaaa jamaa alichokipata hawezi kutamani nguo za rangi ya kombat maisha yake yote.
 er
SHARE
ANGALIA JINSI MWANAJESHI AMLAZIMISHA RAIA KUOGELEA KWENYE MAJI YALIYOTWAMA BARABARANI KARIAKOO  ANGALIA JINSI MWANAJESHI AMLAZIMISHA RAIA KUOGELEA KWENYE MAJI YALIYOTWAMA BARABARANI KARIAKOO Reviewed by bloger on November 05, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display