MAALIM SEIF AMVAA DK SHEIN KWA KUSAINI SHERIA YA GESI NA MAFUTA

Siku moja baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kusaini Sheria ya Gesi na Mafuta, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kitendo hicho kinalenga kuwazuga Watanzania na kuongeza mgongano wa kisheria katika Muungano.

Maalim Seif alisema hayo jana kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ofisi za CUF, Mtendeni kisiwani Unguja.

Rais Shein amesaini sheria hiyo inayoiruhusu Zanzibar kutafuta na kuchimba mafuta kwenye visiwa hivyo.

MAALIM SEIF AMVAA DK SHEIN KWA KUSAINI SHERIA YA GESI NA MAFUTA MAALIM SEIF AMVAA DK SHEIN KWA KUSAINI SHERIA YA GESI NA MAFUTA Reviewed by bloger on November 17, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display