LUKUVI AWAANIKA MATAPELI 30 WA ARDHI

 


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amekabidhi polisi majina ya watu 30 wanaodaiwa kuwa matapeli wa ardhi ili washughulikiwe.

Waziri huyo amelidokeza gazeti hili kuwa amekabidhi majina hayo kwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro ambaye alithibitisha kupokea majina hayo na kwamba tayari yameshafunguliwa majalada kwa ajili ya upelelezi.

“Ni mapema mno kuzungumzia jambo hili, kwa sababu lipo kwa wapelelezi. Ni kweli majina haya tumeyapokea na tayari majalada yamefunguliwa,” alisema.

LUKUVI AWAANIKA MATAPELI 30 WA ARDHI LUKUVI AWAANIKA MATAPELI 30 WA ARDHI Reviewed by bloger on November 18, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display