Mahrez kuwania tuzo ya FIFA

Mahrez kuwania tuzo ya FIFA



    Mchezaji winga wa Algeria Riyad Mahrez ambaye aliisaidia klabu ya Leicester kushinda kombe la ligi kuu ya Uingereza msimu uliopita, ndiye mchezaji pekee kutoka Afrika kujumuishwa katika kundi la wachezaji wanaowania tuzo la mchezaji bora duniani.

    Yumo kwenye kinyan'ganyiro pamoja na manyota Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Mshindi atatangazwa tarehe 9 mwezi Januari.

    Mahrez pia amejumuisha kuwania tuzo ya mchezaji bora, Ballon D'Or pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon.
Mahrez kuwania tuzo ya FIFA Mahrez kuwania tuzo ya FIFA Reviewed by bloger on November 04, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display