KOCHA WA TIMU YA TAIFA UINGEREZA AACHA KAZI

Sam allardyce,kocha wa timu ya taifa ya UIngereza ameachia ngazi kwa makubaliano na Shirikisho na mpira wa miguu nchini humo baada ya kufanya kazi kama meneja wa timu hiyo kwa muda wa siku 67 na kucheza mechi moja tu

Moja ya sababu zilizosabaisha kuondolewa kwenye nafasi hiyo ni ushauri alioutoa wa kupindisha sheria za usajili wa wachezaji. Pia kocha huyo mwenye umri wa miaka 61 anashutuma kwa kosa la kutumua madaraka yake kuingia makubaliano yenye dhamani ya £400,000 sawa na 1,138,942,650 shilingi za kitanzania na Far East firm.


KOCHA WA TIMU YA TAIFA UINGEREZA AACHA KAZI KOCHA WA TIMU YA TAIFA UINGEREZA AACHA KAZI Reviewed by bloger on September 28, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display