PICHA 8: Christopher Ole Sendeka na viongozi wengine walivyoapishwa na Rais JPM leo IKulu

Siku chache baada ya kufanya uteuzi wa nafasi mbalimbali za viongozi wa serikali, leo December 10, 2016 Rais Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
Christopher Olonyokie Ole-Sendeka anayechukua nafasi ya Dkt. Rehema Nchimbi ambaye amehamishwa kituo cha kazi na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Wengine walioapishwa na Rais Magufuli ni Mhandisi Mathew Mtigumwe ambaye anakuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo (Kilimo), Dkt. Maria Sasabo Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Dkt. Aloyce K. Nzuki kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Bibi Grace Alfred Martin kuwa Balozi (Mkuu wa Itifaki).
PICHA 8: Christopher Ole Sendeka na viongozi wengine walivyoapishwa na Rais JPM leo IKulu PICHA 8: Christopher Ole Sendeka na viongozi wengine walivyoapishwa na Rais JPM leo IKulu Reviewed by zachariawap on December 10, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display