Alikiba hajaishia muziki tu katoboa kwenye soka

Msanii wa Bongofleva Alikiba Jumamosi ya December 17 2016 alikuwa Uganda kucheza mchezo wa Hisani kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kusaidia wa mama wajawazito ambao unajulikana kama Dorah Foundation.
Alikiba akiwa katika mchezo huo wa soka wa hisani uliyowahusisha mastaa mbalimbali, upande wake wa The Celebrity White Teamwaliibuka na ushindi wa goli 4-1, huku Alikibaakiwa kahusika katika upatikanaji wa goli la pili katika ushindi huo.
Alikiba hajaishia muziki tu katoboa kwenye soka Alikiba hajaishia muziki tu katoboa kwenye soka Reviewed by zachariawap on December 18, 2016 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display