CCM YACHUKUA KATA NNE ARUMERU ARUSHA

Kwa ufupi

  • Wagombea wa CCM washinda kata nne Arumeru Mashariki yakisubiriwa matokeo ya kata moja
Habari hii utaipata zaidi kwa gazeti la mwananchi la tarehe 27 mwezi wa 11 mwaka 2017

Arusha Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashariki ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa. Kata hizo namatokeo yake ni kama ifuatavyo.

Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2029 na Joyce Martin (Chadema) kura 608.
Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2057 na Domonick Mollel (Chadema) kura 1201. Kata ya Leguruki Andason Sikawa (CCM) kura 3023 na Daniel Mbise (Chadema) kura 287. Kata ya Maroroni, Yona Kaaya (CCM) kura 3568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1201.

chanzo cha habari: mwananchi.co.tz
CCM YACHUKUA KATA NNE ARUMERU ARUSHA CCM YACHUKUA KATA NNE ARUMERU ARUSHA Reviewed by Joshua Mshana on November 26, 2017 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display