ICGLr JOB OPPORTUNITIES 2018



Sekretarieti ya Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) inatangaza nafasi tatu (03) za Ajira zilizopo kwenye Kitengo cha Demokrasia na Utawala Bora. Wananchi wote wenye sifa kutoka Nchi Wanachama wanaweza kuomba nafasi hizo za kazi ambazo ni:-


- Database Technical Assistant. Deadline, 14 January 2017 at 17h00, Bujumbura time (15h00 GMT)
- Technical Assistant for Certification and Audit. Deadline, 14 January 2017 at 17h00, Bujumbura time (15h00 GMT)
- Database Expert. Deadline, 14 January 2018. at 17h00 Bujumbura time (15h:00GMT)
- RFP - Development of Regional Database on Mineral Flows FOR International Conference of the Great Lakes Region. Deadline, 14 January 2018 at 5:00 PM (3:00PM GMT), Bujumbura time.

Kwa taarifa zaidi kuhusu Tangazo hili la nafasi kazi ikiwemo njia ya kuwasilisha maombi ya kazi tafadhali tembelea Tovuti ya ICGLR kupitia anwani ifuatayo:- https://www.icglr.org/index.php/en/job-opportunities
ICGLr JOB OPPORTUNITIES 2018 ICGLr JOB OPPORTUNITIES 2018 Reviewed by Joshua Mshana on December 27, 2017 Rating: 5

No comments

Business

Post Navigation Display